laddyhanifa
Monday, May 30, 2011
UMEWAHI KUONA NYUMBA INAYOHAMISHIKA?
![]() |
| Kwa nje muonekano wake ni kama hivi |
![]() |
| Wanafanya marekebisho madogo madogo kwenye nyumba hii yenye matairi na inayohamishika. |
HUYU NDIYO DOGO ANAYELIPWA MKWANJA MREFU HOLLYWOOD.
![]() |
| JADEN SMITH |
Sunday, May 29, 2011
JAMANI HIVI VIDOLE VYA MKONO AU VYA MGUU?
"WACHA TUONBESHE UPENDO WABAYA WAULIZANE"
![]() |
| "Mpenzi Mungu kakupendelea maana daah!!" |
![]() |
| "Mpenzi nko hapa lakini moyo unanidunda ile mbaya, huna mpenzi kweli hapa?" |
![]() |
| "Mapaparazi nao wasikuone unakula bata na mtu wako" |
![]() |
| Tuone kama na huku mtakuja maana hampitwi na kitu nyie. |
![]() |
| "Jamani nasikia raha sana mwenzenu" |
![]() |
| "Kweli nme enjoy sasa tuondoke mpenzi wangu" |
![]() |
| "Itabidi tukitoka hapa ni moja kwa moja mpaka Lodge au sio mpenzi wangu?" |
![]() |
| "Nyie Paparazi vipi? Nimechukua chenu? mbona mnanifuatila hivyo?" |
![]() |
| "Shosti hapa si pa kukaa kabisa hembu waone wanavyotufatilia" |
![]() |
| "Mbona Shemeji simuoni? au ndiyo alienda kuwaita hawa Paparazi?" |
Subscribe to:
Comments (Atom)

![[pombe_si_maji+(3).jpg]](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzwJ2Y-P4vnG5UzltpJvqrC3-XzNYpXhP4iGOr332kvjWiqWhYIBYdBJCm6AVi4jXqmV-bBmIucV0z4HMAtgFzomEOBvPbpUNROym1nq4WE2grm76qncG5rW_OAl0LWi04ASmBzgv4geU/s1600/pombe_si_maji+(3).jpg)
![[pombe_si_maji.jpg]](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhb-Ej-dSkp1zXACxImMLbPHDHSEzX3j4mz77voCmyMiR3q_sbJh5r4L2cY7mnYILywvxR6Ox4ZMRDD7jef5uj2FUBF1LLyzOzG_iQYmI0oSLEMukFqhnP6EYq3f_HXktQSS-uPnaNWUTg/s1600/pombe_si_maji.jpg)
![[pombe_si_maji+(1).jpg]](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4cjRhc2SEHXteWCfLJaSLJhF518kcDyI5SGcBN78-GMxlwESAhePjld5fQi8Rhih67DBy34Sv7hFLceooyVHoCNCp7WYZSvy8YsHjixn5Dsmb599D9WzIYPRxvuIdUw-KH83N4VPqXZo/s1600/pombe_si_maji+(1).jpg)





















