Monday, May 30, 2011

UNICEF MPOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!

Huyu Mwalimu anatouti gani na Osama Bin Laden? Eti hii ni adhabu amebuni. UNICEF mpoooo.

POMBE SI MAJI.

[pombe_si_maji+(3).jpg]


  
[pombe_si_maji.jpg]

   

[pombe_si_maji+(1).jpg]
 

UMEWAHI KUONA NYUMBA INAYOHAMISHIKA?

Kwa nje muonekano wake ni kama hivi

Wanafanya marekebisho madogo madogo kwenye nyumba hii yenye matairi na inayohamishika.

Huu ndiyo muonekano wake wa ndani ambapo inaukubwa wa vyumba viwili, maliwato, bar, movie room ikiwa sceen yake ina ukubwa wa inch 100 marumaru ofisi ya wasaidizi wake, na master bed room.

  Hapa nyumba imefika inapostahili kufika.







HUYU NDIYO DOGO ANAYELIPWA MKWANJA MREFU HOLLYWOOD.

Jaden Smith wa kwanza kushoto akiwa na dada yake Wllow Smith mama yao Jadah Pinket Smith pamoja na Will Smith. Jaden ndiye mtoto anayelipwa mkwanja mrefu Hollywood katika fani ya uigizaji ambapo analipwa kiasi kisichopungua dola milioni mbili katika sinema ya The Karate Kid aliyocheza kama mhusika mkuu. Hata hivyo filamu hii ni ya tatu kucheza ambapo ya kwanza iklikua ni ile ya The Pursuit of  Happyness alishiriki sehemu ndogo akiwa na baba yake Will Smith. Mbali na uigizaji pia ni mwanamuziki ambapo ameimba wimbo ujulikanao kama Never Say Never aliouimba na Justin Bieber. 

JADEN SMITH