Sunday, May 29, 2011

HAWA NDIYO WANAMUZIKI MATAJIRI DUNIANI.

SEAN DIDDY COMBS - P-DIDDY (DOLA MILIONI 475)

 
SHAWN COREY CARTER - JAY Z (DOLA MILIONI 450)

 
ANDRE ROMELLE YOUNG - DR DRE (DOLA MILIONI 125)

 
CURTIS JAMES JACKSON III - 50 CENT (DOLA MILIONI 100)
BRYAN WILLIAMS - BIRDMAN/BABY (DOLA MILIONI 100)

JAMANI HIVI VIDOLE VYA MKONO AU VYA MGUU?

Hembu tazama vidole vya jamaa huyu halafu useme  kama akipata kazi ya kupiga kinanda ataweza kweli? Maana vidole vyake vina ukubwa usio wakawaida hii simu unayoona anaongea nayo alibonyezewa na mtu mwingine yeye akapokea tu. Kidole chake kimoja kina ukubwa wa vidole viwili vya ukubwa wa kawaida, hivi hata Internet Cafe anaingia kweli!! Vidole vyake akibofya keybord, vinabofya vitufe viwili kwasababu ya ukubwa wa vidole vyake.

"WACHA TUONBESHE UPENDO WABAYA WAULIZANE"

"Mpenzi Mungu kakupendelea maana daah!!"

"Mpenzi nko hapa lakini moyo unanidunda ile mbaya,  huna mpenzi kweli hapa?"

"Mapaparazi nao wasikuone unakula bata na mtu wako"

Tuone kama na huku mtakuja maana hampitwi na kitu nyie.


"Jamani nasikia raha sana mwenzenu"

"Kweli nme enjoy sasa tuondoke mpenzi wangu"

"Itabidi tukitoka hapa ni moja kwa moja mpaka Lodge au sio mpenzi wangu?"

"Nyie Paparazi vipi? Nimechukua chenu? mbona mnanifuatila hivyo?"

"Shosti hapa si pa kukaa kabisa hembu waone wanavyotufatilia"

"Mbona Shemeji simuoni? au ndiyo alienda kuwaita hawa Paparazi?"

EMINEM NA JUSTIN BIEBER NDIYO WASHINDI WA "BILLBOARD MUSIC AWARD"

Rapper EMINEM kushoto na Justine Bieber kulia ndiyo waliojinyakulia tuzo hizo kila mmoja zikiwa ni tuzo zenye kuonesha juhudi ya hali ya juu ya kile unachokifanya katika muziki duniani. Tuzo hizi zilitolewa katika jiji la Las  Vegas nchini Marekani.
 
Mkanada mwimbaji Justin Bieber kwa siku hiyo alijinyakulia tuzo sita kwa pamoja.

MCHEZA FILAM AFARIKI DUNIA

Mcheza filamu na tamthiliya, Jeff Conaway ambaye alicheza Tamhiliya kama "Taxi" na filam "Grease" amefariki dunia Ijumaa ya tarehe 27/5/2011.